There is no chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:
WASIHA: they are too backward,hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai,wanaume wanatahiriwa nusu!! Chaa achana nao.
WAMACHAME:huwezi kujua nani mwanamke na nani mwanaume,kila kitu ni pesa.yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakua hivi,’kama huto pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu’basi kule Machame chakula cha ndoa(mapenzi) ni kwa kipimo,ukiwa katikati mama anakwambia stoooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha,ukitaka ongeza uendelee.
WAKIBOSHO:specialized bandits,akina mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi” yaani dadangu we acha Alex wangu siku hisi amepefuka kweli,ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi,krismasi ikifika lazima nitaletewa fitenge fya kongo” ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia hivi” hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako? Leta hizo pesa sake tujenge huku kwetu manka”!!
WAURU:very boring people,wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuu,masomo,digrii yaani Yukon not bilivu!Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake,ona hand writing yangu ilivyo nzuri wakati nafundishwa na father Wilson payatt.wanakumbuka majina ya walimu wao hasa wazungu tangu chekechea.wanamwogopa sana Mungu,kengele ya Kanisani ikilia saa sita utawaona wazee wote kilabuni wanasimama na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.
WA OLD MOSHI:actually Mama Mkapa ni beaty queen kule kwao.yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe.wanaume ni wabishi balaa1 wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiii!
WAMARANGU:wanaume wote ni waongo.actually kuna somo la jinsi ya kudanganya shule zote za primary kule Marangu.both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.
WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.
Wazee hayo ni baazi ya matabaka ya wachaga
tuonane wakati mwingine
Wednesday, September 12, 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
duh hii kali! na uyo mama nanii mka....p ni wakule kumbe,unapicha yake uibandike apo tumwone queen wao?
safi kaka>
Ebwana,dah! hii kali sana mkuu.Muda woote nimekaa nao sikujua haya yote mkuu.Ngoja nianze kuangalia kwa ukaribu.
Msalimie Manka Mushi.
Samahani, nilikosea nikaweka maoni kwa ajili ya blogu ya Ndabagoye kwenye blogu yako. Nimeyafuta.
Karibu sana. Naona unamuunga mkono Ndabagoye ambaye amekuwa akikaribisha sana wanafunzi wenzake wa pale Moshi.
asantete sana kaka Ndesanjo.tupo pamoja
Samahani, natoka nje ya somo!
Njoo tumalizie kujadili kipengele, ili tuende kwenye hatua nyingine ya kuboresha wanajumuiya wa jumuiya ya Watanzania wanao tembelea au wanao blogi.
Tembelea hapa : http://blogutanzania.blogspot.com/
ilia tumalize kujazia dondoo ili tu anze na kipengele kingine.
Idumu JUMUWATA!
Post a Comment